Company name: WGM SERVICES COMPANY
Company Director: Mr. Mwamkili Gwakisa
Director: Mr.Mwamkili Gwakisa anapenda kuwashukuru watazamaji wake wote wa site za kampuni yake kama
1-WGM Habari Blog Tz katika Facebook Page
2-WGM Online Tv katika Youtube
3-Blog ya WGM HOT NEWS TZ.
Kuwa anapenda kutoa shukurani kwa wote wanao sapoti kazii pia napenda kuwajulisha kuwa WGM tunaendelea kutoa huduma bora na safi kwa habari za uwakika na matukioya uwakika
Pia WGM inapenda kuwapa taarifa kuwa imefungua channel ya Youtube yenye jina: WGM Online Tv unaweza kusubscribe ili kupata mata nyimbo mpya na matukio
Pia tumefanya mabadiliko kwenye blog hii na kuongeza batani ya kukupeleka kwenye channel ya youtube moja kwa moja tazama hapo chini
Pia Kwa watakao SUBSCRIBE Chanel ya WGM Online Tv
na watakao Like Page ya WGM Habari Blog Tz kuanzia 01/08/2018 kila siku kampuni itapost vocha ya 1000 kwa post ya siku kwa Page na post Kwa youtube WGM Online Tv Ofa hii imetoka kwa Director wa kampuni
Mh. Mwamkili Gwakisa
***********************KARIBUNI WGM SRVICES KWA HUDUMA BORA*************