Nafasi za Kazi ya Mtendaji III Wilaya ya Chamwino
Kumb No. HW/W.10/22
Kwa
mujibu wa kibali cha Aajira Kumb No. CFC 26/205/01/"FF"/ 99 cha tarehe
22 Agost 2017 kama kilivyoongezewa muda kwa kibali cha Kumb No.
CFC.26/205/01"GG"/ 95 cha 12 Machi 2018 na kutoka kwa Katibu Mkuu
(UTUMISHI) Ofisi ya rRaisi Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Chamwino anawatangazia nafasi
za kazi watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi zifuatazo
MTENDAJI WA KIJIJI III NAFASI 47
SIFA
mwenye elimu ya kidao cha IV au VI aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo
Utawala , Sheria, Elimu ya jamii usimamizi wa fedha maendeleo ya jamii na sayansi ya jamii kutoka chuo cha Serikali za mitaa Homboro Dodoma au chochote kinacho tamblika na serikali

KAZI NA MAJUKUMU
- afisa masuuli na mtendaji mkuu wa Serikali ya Kijiji
- Kusimamia ulinzi na usalama wa raia na mali zao kuwa malinzi wa amani na msimamizi wa utawala bora katika kijiji
- kuratibu na kusimamia upangaji wa utekelezaji wa mipnago ya maendeleo ya kijiji
- katibu wa mikutano ya kamatai zote za Halmashauri ya KIJIJI
- kuandaa taaarifa za utekelezaji wa kazi katika eneo lake na kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati ya kuondoo njaa, umaskini na na kuongeza uzalishaji mali
- kiongozi Mkuu wa Vitengo vya kitaalamu katika kijiji
- kiongozi wa wa kuu wa vitengo vya kitaalam katika kijiji
- kusimamia na kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote na nyaraka za vijiji
- kutekeleza shughli nyingine atakazo pangiwa na mwajiri

MSHAHARA
kwa kuzingatia ngazi ya mishahara ya serikali yaani TGB (390,000 X 11,OOO HADI 489,000) Kwa mwezi. Mwajiriwa katika kada hii ataanza na mshahara wa shiilingi za kitanzania 390,00/= kwa mwezi
kwa kuzingatia ngazi ya mishahara ya serikali yaani TGB (390,000 X 11,OOO HADI 489,000) Kwa mwezi. Mwajiriwa katika kada hii ataanza na mshahara wa shiilingi za kitanzania 390,00/= kwa mwezi
MAHSRTI YA JUMLA
i. mwombaji lazima awe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya Wiaya ya Chamwino
ii. awe na umri wa miaka 188 na usizidi miaka 45 na hajawahi kupatiokana na kosa lolote la jinai na kufungwa Jela
iii. maombi yote yaambatanishwe na maelezo binafsi
iv. maombi yaaambatane na nakala za vyeti vya taaluma vyeti ya elimu , na cha kuhitimu sekondari form 4 au 6 cheti cha kuajiriwa na picha 2 za rangi za hivi karibuni na iandikwe jina Nyuma
v. testimonials provisional results statement of results hati ya matokeo ya kidato cha 4 na 6 havitakubaliwa
vi. waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na mamlaka husika (TCU NA NECTA) taarifa ya uhakiki iambatanishwe kwenye maombi
vii. waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba pasipo kama wanakibali cha Katibu Mkuu Kiongozi
viii. uwasilishaji wa taarifa na sifa za kughushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria
ix. mwisho wa kupoka maombi ni tarehe 03/04/2018 saa 9: alasir
maombi yatumwe kwa
MKURUGENZI MTENDAJI,
HALMASHAURI YA WILAYA YA CHAMWINO,
S.L.P 1126,
DODOMA.
No comments:
Post a Comment