Nafasi zakazi Mtendaji Kijiji III Wilaya ya Busokelo, Mwisho wa Kutuma Maombi ni Tarehe 20 April 2018
Nafasi zakazi ya Mtendaji Kijiji III Nafasi 7 Wilaya ya Busokelo
Kumb No. BDC/J.2/02/ VOL.V/90
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Busokelo anawatangazia nafasi za kazi Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza za kuajiriwa kuomba nafasi za kazi katika Utumishi wa Umm nafasi za Mtendaji Kijiji daraja la III KWAAJILI YA HALMASHAURI YA WILAYA BUSOKELO
1. MTENDAJI WA VIJIJI III NAFASI 7
A. SIFA ZA MWOMBAJI
I. awe amefahulu kidato cha 4 na 6
II.aliyehitimu mafunzo ya atashahada/cheti katika moja ya fanai zifuatazo Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka Chuuo cha Serikali za Mitaa Hombolo Dodoma nau chuo chochote kinachotambulika na Serikali
III. Awe raia wa Tanzania , mwadilifu mwenye umri kati ya Miaka 18 hadi 45
iv. mwenye tabia njema isiyotia shaka na ambaye hajawahi kutiwa hatian kwa kosa lolote la jinai
v. awe tayari kufanya kazi katika kijiji chochote cha Busokelo

B. KAZI NA MAJUKUMU
- afisa masuuli na mtendaji mkuu wa Serikali ya Kijiji
- Kuwa ulinzi wa amnai na usimamizi wa utawala bora katika kijiji
- kuratibu na kusimamia upangaji wa utekelezaji wa mipnago ya maendeleo ya kijiji
- katibu wa mikutano yna kamati zote za halmashauri ya Kijiji
- kutafsiri na kusimamia sera, sheria na taratibu
- kuandaa taaarifa za utekelezaji wa kazi katika eneo lake na kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati ya kuondoo njaa, umaskini na na kuongeza uzalishaji mali
- kusimamia kuusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote za nyaraka
- kusimamia utungwaji wa sheria ndogo za kijiji
- kupokea, kusikiliza na kutatua malalmiko na migogoro ya wananchi

iii MSHAHARA
kwa kuzingatia ngazi ya mishahara ya serikali yaani TGS B
JINSI YA KUTUMA MAOMBI
Barua zote ziandike kwa mkono wa mwombaji na kutumwa kwa anuani ifuatayo

Mkurugenzi Mtendaji,
Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo,
S.L.P 2,
TUKUYU.
Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo,
S.L.P 2,
TUKUYU.
MUHIMU
A). barua zinaweza kutumwa kwa njia ya posta kwa walioko mbali na walio jirani wanaweza kuleta kwa mkono
B). Barua/ anawani anayotumia kwa sasa pamoja na namba za simu viambatanishwe na
- maelezo binafsi
- nakala za vyeti vya taaluma
- nakala ya cheti cha kuzaliwa
- picha 2 passport size za hivi karibuni

C). awe hajawahi kupatikana na kosa lolote la jinai
D). testimonials na provisional results havitakubaliwa
E). nakala zote za vyeti vithibitishwe na hakimu au wakili yeyote aliesajiliwa na kuthibitishwa
f). watakaochaguliwa kuhudhuria usaili watafahamishwa kwa kupitia simu walizoandika kwenye barua zao
mwisho wa kupokea tangazo hili ni tarehe 20/04/2018
No comments:
Post a Comment