TANGAZO
TANGAZO TANGAZO
WGM TECHNOLOGY: Sasa tuko
SONGEA-Luhuwiko Kampuni hii inajishigulisha na mambo mbalimbali katika maisha
yetu ya kila siku.
WGM
TECH: Tunatoa mafunzo mbalimbali yanayo mfanya mtu yoyote kujiajili na mafunzo
hayo ni yakisasa yanayo endana na Dunia yetu WGMtech.KWA SONGEA tutatoa mafunzo
yafuatayo:
1. Utengenezaji wa simu kisasa na
matumizi ya computer
2. Jinsi ya kuflash simu aina zote
3. Kupiga windows computer kisomi
4. Matumizi na faida za mitandao
5.
Matumiz
ya computer.
·
Kumbuka mafunzo hayo yatatolewa kisasa
na kuna vifaa ya kujifunza na kwa kila somo tutfundisha kwa vitendo :
·
Mafunzo
yote hayo yatafundishwa kwa gharama ya shilling elfu hamsini tu 50,000
Na
utatoa kwa awamu mbili
Kozi hii itatolewa ndani ya mwezi
mmoja kwaaliji ya kuweza kusoma vyote kwa weledi mkubwa.
Masomo yatafundishwa kutokana na
muda utakao utaka wewe msomaji.
Ø Watu kumi wa mwanzo kujiandikisha
kwenye mafunzo haya watapunguziwa gharama 20% ya ada hiyo
Ø Na atakaye kuwa vizuri katika
mafunzo ata ajiliwa na kampuni yetu kwa kulipwa mshahara.
Ø Atakaye lipa gharama yote kwa
wakati atapewa program za kuflashia simu bureee..
Vigezo vya muombaji awe anajua kusoma na
kuandika kwa elimu yoyote
Umri kuanzia miaka 15-32 kwa wavulana na
wasichana.
WASILIANZA
NASI KWA MAELEZO ZAIDI
0768512722
0684414707
Mi nataka bure
ReplyDelete