
Waziri Wa Afya Atoa ONYO Kwa Wanaosambaza Picha za Waliofariki Ajali ya MV Nyerere

Waziri Wa Afya Atoa ONYO Kwa Wanaosambaza Picha za Waliofariki Ajali ya MV Nyerere
Waziri wa Afya maendeleo ya Jamii jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ameonya usambazaji wa picha miili ya ajali ya Mv-Nyerere iliyotokea juzi Mkoani Mwanza kisiwa cha Ukala.
Kwa mujibu Waziri Mwalimu usambazaji wa picha hizo...
Diamond, Rich Mavoko Wakutana Uso kwa Uso BASATA

Diamond, Rich Mavoko Wakutana Uso kwa Uso BASATA
Msanii wa Bongo Fleva, Rich Mavoko na lebo ya WCB wamekutana tena Baraza la Sanaa Taifa (BASATA).
Team ya WCB ilikuwa ikiongozwa na Diamond Platnumz pamoja na Sallam SK.
Pande hizo mbili ziliitwa na BASATA kwa lengo la majadiliano mara ya baada ya upande wa Rich...
Irene Uwoya Awaonya Wanaopiga Picha za Nusu Uchi
Mwanamke Atiwa Mbaroni Kwa Kumuua Mwanae na Mwingi kwa Kumuwekea Mwiko Sehemu za Siri

Wanawake
wawili wanashikiliwa na polisi mkoani Morogoro kwa tuhuma mbalimbali
akiwamo mmoja aliyemuua mtoto wake wa kiume wa miaka 11 kwa kumpiga
fimbo kichwani.
Katika
tukio jingine mwanamke mwingine anashikiliwa na polisi akituhumiwa
kumsokomeza mwiko sehemu za siri mtoto wa dada yake mwenye umri wa miaka
...
TCU: Kesho Ndo Mwisho wa Kutuma Maombi ya Kujiunga Chuo Kikuu Shahada ya Kwanza

Tume
ya vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imesema kuwa kesho Agosti 15, 2018 ndiyo
mwisho wa kutuma maombi ya kujiunga na masomo ya shahada ya kwanza
katika vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu nchini.
Dirisha hilo la kuwasilisha maombi lilifunguliwa Julai 20, 2018 kwa awamu ya kwanza.
Akizungumza
leo Agosti...
Wolper: Siwezi kudanga na siku nikikamata mmoja ni mimba tu

Msanii
wa Filamu Bongo, Jackline Wolper amesema kitu ambacho hawezi kufanya ni
kudanga. Wolper amefunguka hayo wakati akimjibu shabiki yake katika
mtandao wa Instagram kufuatia mrembo huyo kuposti picha ya Rais wa Kenya
na kuandika; My second home.
Sasa shabiki huyo alitupia comment yake kwenye post...
Kauli ya Rais Magufuli Yamuumiza Kichwa Makonda

Mkuu
wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda ameitisha kikao na wakurugenzi
wa manispaa zote za mkoa kwalengo la kupitia takwimu za mapato na
matumizi ya mkoa huo ili kujiridhisha kwanini wameshuka kimapato na
kuzidiwa na jiji la Dodoma ambalo limepandishwa hadhi hivi karibuni.
Makonda
ametoa kauli...
Lulu Diva Adai Anamiliki Gari La Thamani Kuliko Wasanii Wote Tanzania

Lulu Diva Adai Anamiliki Gari La Thamani Kuliko Wasanii Wote Tanzania
Aliyewahi kuwa video vixen na sasa ni msanii wa muziki wa bongo fleva, Lulu Diva anae hit na ngoma yake ya 'Ona' amefunguka kuwa yeye ni msanii pekee anaemiliki gari ya thamani Tanzania nzima.
Akipiga
story Ayo tv, Lulu Diva, amefunguka...
Mfanyabiashara Davis Mosha akamatwa na Askari wa Uhamiaji

Mfanyabiashara Davis Mosha akamatwa na Askari wa Uhamiaji
Mfanyabiashara Davis Mosha
alikamatwa Agosti Mosi, 2018 kwa madai ya kuwazuia askari wa Idara ya
Uhamiaji kutekeleza majukumu yao na bado anaendelea kushikiliwa kwa
hatua zaidi.
Msemaji
Mkuu wa Idara ya Uhamiaji, Ali Mtanda amesema Mosha aliwashambulia...
Bill Nass amshauri Steve Nyerere kufungua kampuni ya kusimamia misiba

Bill Nass amshauri Steve Nyerere kufungua kampuni ya kusimamia misiba
Msanii
wa Bongo Flava, Bill Nass amemshauri muigizaji Steve Nyerere kufungua
kampuni ya kusimamia misiba kwa sababu ni kazi anayoiweza zaidi.
Bill
Nass akipiga stori na Wasafi TV amesema kuliko Steve Nyerere kutumia
fedha zake kuandaa...
Ajali Yaua Watu Wanne Dodoma huku Watatu Wakiwa ni wa Familia Moja

Ajali Yaua Watu Wanne Dodoma huku Watatu Wakiwa ni wa Familia Moja
Watu wanne wamefariki dunia watatu wakiwa ni wa familia katika ajali iliyohusisha gari na pikipiki.
Akizunguma
na wanahabari jana Agosti 2, Kamanda wa Polisi mkoani Dodoma Gilles
Muroto, alisema ajali hiyo imetokea usiku wa kuamkia jana...
Bodi ya Mikopo Yasema Wanafunzi 17,000 Kati ya Wote Waliotuma Maombi Hawajakidhi Vigezo vya Kupatiwa Mikopo

Bodi ya Mikopo Yasema Wanafunzi 17,000 Kati ya Wote Waliotuma Maombi Hawajakidhi Vigezo vya Kupatiwa Mikopo
Imeelezwa
kuwa zaidi ya wanafunzi 17,303 hawajakidhi vigezo vya kupatiwa mikopo
ya elimu ya juu na Bodi ya Mikopo nchini kutokana na kutokamilisha
viambata muhimu vinavyohitajika hali iliyopelekea...
Habari kwa Uma WGM Services Company Inayo furaha kuwashukuru watazamaji wake wa mitandao yao yote ya kijamii Mkurugenzi wa Company hiyo Mh.Mwamkili Gwakisa Soma zaidi
Orodha ya Vyuo/Taasisi Zinazoruhusiwa Kufanya Udahili wa Wanafunzi Wapya

Orodha ya Vyuo/Taasisi Zinazoruhusiwa Kufanya Udahili wa Wanafunzi Wapya
Na Jina la Chuo/Taasisi
1 Agency for Development of Education Management (ADEM) – Mbeya Campus
2 AMO Training Centre - Bugando
3 Arafah Teachers' College - Tanga
4 Archbishop John Ramadhan School of Nursing - Korogwe
5 Ardhi Institute -...
Wambura analipwa Mil.7.....Kasema watia saini TFF walighushiwa

Wambura analipwa Mil.7.....Kasema watia saini TFF walighushiwa
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Boniface Wambura (49) ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa anapokea mshahara wa Shilingi Milioni 7 kwa mwezi.
Wambura ameyaeleza hayo wakati akitoa ushahidi...
Joshua Nassari: Serikali Inawarudisha Watanzania Enzi za Ukoloni

Joshua Nassari: Serikali Inawarudisha Watanzania Enzi za Ukoloni
Mbunge wa Arumeru Mashariki (Chadema) Joshua Nassari amesema Serikali imewarudisha Watanzania katika kipindi cha ukoloni ambako waliporwa ardhi yao bila sababu za msingi.
Nasari amesema kitendo cha kuwachomea nyumba wananchi wa Meru kinawakumbusha...