Albert Msando Ajiuzulu......Ni Baada ya Video Yake Chafu Kuvuja Mtandaoni

Albert Msando Ajiuzulu......Ni Baada ya Video Yake Chafu Kuvuja Mtandaoni

Aliyekuwa mshauri wa Chama cha ACT Wazalendo, Albert Msando amejiuzulu nafasi yake hiyo kufuatia video chafu zilizomuhushisha kuvuja kwenye mitandao ya kijamii hivyo ameamua kujiuzulu ili kuwajibika na kuomba radhi kwa wananchi kwa kitendo hicho

Kiongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe, amethibitisha kupokea barua hiyo na kukubaliana na kiongozi huyo kwa kitendo chake hicho cha kuwajibika kisiasa huku akieleza kuwa, Bw. Msando amekuwa na mchango mkubwa katika Chama chao.

"Nimepokea barua ya Wakili Albert G. Msando kuomba kujiuzulu nafasi yake ya Ushauri wa Chama chetu cha ACT Wazalendo. Ndugu Msando anawajibika Kwani anapaswa, nanukuu kutoka katika barua yake, "kuishi Kama mfano Kwa jamii inayonizunguka". 

"Ndugu Albert Msando amekuwa kiongozi mwenye mchango mkubwa katika chama katika nafasi mbalimbali alizoshika ndani ya chama. Chama kinamshukuru kwa moyo wake wa uzalendo na mchango alioutoa katika Chama. Ni matumaini yetu ataendelea kushirikiana nasi katika ujenzi wa chama kwa kadri atakavyoweza na atakapohitajika kama mwanachama"- alisema Zitto Kabwe.

Zitto Kabwe pia ametumia nafasi hiyo kuwaomba wananchi wamsaidie katika jambo hilo analopitia saizi

"Nikiwa Kiongozi wa Chama nimekubali kuwajibika kwake na kumtakia kheri katika kujisahihisha kwake. Ndugu Msando Alberto ameomba msamaha Kwa jamii kwa uwazi na ni wajibu wetu kumsaidia kupita katika mitihani iliyomkumba" alimaliza Zitto Kabwe.
Share:

No comments:

Post a Comment

Categories

Ordered List

  1. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit.
  2. Aliquam tincidunt mauris eu risus.
  3. Vestibulum auctor dapibus neque.

Sample Text

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua. Ut enim ad minim veniam, quis nostrud exercitation test link ullamco laboris nisi ut aliquip ex ea commodo consequat.

Definition List

Definition list
Consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua.
Lorem ipsum dolor sit amet
Consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua.

Support

Need our help to upload or customize this blogger template? Contact me with details about the theme customization you need.

Pages