Haji Mnara: Hans Pope amefuta uamuzi wa kujiuzulu uongozi Simba

Haji Mnara: Hans Pope amefuta uamuzi wa kujiuzulu uongozi Simba

Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hanspope amerudi kundini Simba baada ya kufuta uamuzi wake wa kujiuzulu

Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Simba, Haji Manara amethibitisha suala hilo na kusema Hanspope amerudi kundini baada ya kujiuzulu kutokana na sakata liloendelea ndani ya Simba.

"Rasmi Hanspope arejea kundini, afuta uamuzi wake wa kujiuzulu na ndio maana 'fans' wetu nawaomba mtulie hakuna kitakachoharibika, ni upepo mbaya ulipita na sasa umetulia, karibu tena kamanda Pope" alisema Haji Manara
Share:

No comments:

Post a Comment

Categories

Ordered List

  1. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit.
  2. Aliquam tincidunt mauris eu risus.
  3. Vestibulum auctor dapibus neque.

Sample Text

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua. Ut enim ad minim veniam, quis nostrud exercitation test link ullamco laboris nisi ut aliquip ex ea commodo consequat.

Definition List

Definition list
Consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua.
Lorem ipsum dolor sit amet
Consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua.

Support

Need our help to upload or customize this blogger template? Contact me with details about the theme customization you need.

Pages