Ofisi za Mawakili Fatma Karume na Lawrence Marsha Zimeteketea kwa Moto
Ofisi ya IMMMA House inazomilikiwa na wanasheria kadhaa akiwepo Fatma Karume na Lawrence Masha zimeungua moto usiku wa kiamkia leo ambapo chanzo cha moto huo bado hakijafahamika.
Wakili Fatma Karume kwa siku za hivi karibuni alisikika sana alipokuwa akimtetea Tundu Lissu mara baada ya kukamatwa uwanja wa ndege alipokuwa akisafiri kwenda Rwanda.
No comments:
Post a Comment