Waziri Nape Nauye: Ujinga ni mzigo mkubwa sana, omba Busara ya Mungu Kuliko Utajiri na Kiburi
Kuna post mbili ambazo Waziri Nape ameziweka katika ukurasa wake wa twitter na kuwafanya watu waanze kuzitafsiri kila mmoja apendavyo huku wengine wakizihusisha na kauli yake ya kutaka busara itumike katika mapambano ya madawa ya kulevya.
Hata hivyo, Nape amedai post hizo hazina maana yoyote mbaya na badala yake ni masomo tu ya mwalimu Mwakasege
Post zenyewe ni hizo hapo chini
==>Hii ni post yake Yenye Video ya Mahubiri ya Mwakasege
Baada ya post hizo kuanza kujadiliwa na watu, Waziri Nape amevunjaikimya na kuandika; Tujifunze kusoma biblia, Nasoma masomo ya Mwakasege watu wanachukua na kutafsiri watakavyo kwa faida zao.Nimesikitishwa sana. Si SAWA! - Ameandika Waziri Nape.
No comments:
Post a Comment