"Nisingejiingiza kwenye kutumia dawa za kulevya ningekuwa tajiri sana-" TID

"Nisingejiingiza kwenye kutumia dawa za kulevya ningekuwa tajiri sana-" TID

Msanii Khalid Mohamed maarufu kwa jina la  TID, amekiri kuwa kujihusisha kwenye utumiaji wa dawa za kulevya kumemrudisha nyuma kiuchumi.

Akiongea kwenye kipindi cha XXL, kupitia Clouds FM Ijumaa hii, Mnyama ambaye alikiri hadharani kuwa mmoja wa mastaa walioathirika na matumizi ya dawa hizo, alisema hadi sasa angekuwa na utajiri wa kushangaza. Anasema dawa hizo zina gharama kubwa.

“Nadhani ningekuwa nimenunua kama magari mengine manane, ningekuwa nimefanya video za muziki kadhaa zenye kiwango kikubwa. Lakini nilitumia hela nyingi sana hasa pale ninapoenda kujirusha ningetumia hela nyingi sana,Lakini hii imefikia mwishoni,"alisema TID.

Staa huyo amedai kuwa dawa zilimfanya awe na mtazamo tofauti katika vitu vingi ambavyo alivichukulia rahisi rahisi.

“When you are high you think you are on top, nobody can touch you sababu you are under influence unaanza kugombana na watu, ukawajibu watu vibaya, but when you are clean unaweza ukafanya vitu, you can save a lot of money, you can be a better person, you can even marry a good girl, you can fall in love,” amesema Mnyama ambaye amejitolea kuwa balozi wa vita dhidi ya matumizi ya dawa za kulevya.

“It’s over now.”

Kwenye show hiyo TID aliachia wimbo mwingine uitwao Woman ambao amedai kuwa remix yake atamshirikisha Diamond.

Share:

No comments:

Post a Comment

Categories

Ordered List

  1. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit.
  2. Aliquam tincidunt mauris eu risus.
  3. Vestibulum auctor dapibus neque.

Sample Text

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua. Ut enim ad minim veniam, quis nostrud exercitation test link ullamco laboris nisi ut aliquip ex ea commodo consequat.

Definition List

Definition list
Consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua.
Lorem ipsum dolor sit amet
Consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua.

Support

Need our help to upload or customize this blogger template? Contact me with details about the theme customization you need.

Pages