
Serikali Yapiga Marufuku Kuzungumzia Faru John

Serikali Yapiga Marufuku Kuzungumzia Faru John
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Ramo Makani amesema kuwa hakuna mwenye Mamlaka ya kutoa tamko au ufafanuzi kuhusu faru John kwa sasa zaidi ya Waziri Mkuu kwa kuwa jambo hilo liko chini ya ofisi yake. kwaajili ya uchunguzi.
Ameyasema hayo Wilayani Ngorongoro...
Upinzani na serikali wakutana DR Congo
Upinzani na serikali wakutana DR Congo
Image captionRais wa DR Congo Joseph Kabila
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na vyama vya upinzani vinakutana katika mkutano ambao umeelezewa kama utakaovunja au kulijenga taifa hilo, lililoko maeneo ya maziwa makuu.
Taifa hilo linakumbwa na matatizo makubwa ya...
Nkurunziza aashiria kuwania muhula wa nne Burundi
Nkurunziza aashiria kuwania muhula wa nne Burundi
Image captionRais wa Burundi Pierre Nkurunziza
Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza amesema kuwa huenda akawania muhula mwengine iwapo katiba itabadilishwa ili kumruhusu kufanya hivyo.
Uamuzi wake wa kuwania muhula wa tatu mwaka uliopita ulizua ghasia ambazo zimesababisha...
Marekani yawafukuza wanadiplomasia 35 wa Urusi
Marekani yawafukuza wanadiplomasia 35 wa Urusi
Image captionRais wa Marekani,Barrack Obama
Rais Obama ameamuru kutimuliwa kwa wanadiplomaisa 35 wa Urusi kufuatia tuhuma za Urusi kutaka kuingilia kati uchaguzi wa Marekani kupitia njia ya mtandao.
Makazi ya wanadiplomasia wawili wa Urusi yamefungwa na baadae kuwekewa...
Kamanda Sirro Katoa Tathmini ya Uhalifu Dar kwa Mwaka Mmzima wa 2016

Kamanda Sirro Katoa Tathmini ya Uhalifu Dar kwa Mwaka Mmzima wa 2016
KIKOSI cha Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, imekamata jumla ya watuhumiwa 13,626 na kuwafikishwa mahakamani kwa tuhuma mbalimbali, ikiwemo dawa za kulevya na ujambazi wa kutumia silaha kwa kipindi cha mwaka mmoja wa 2016.
Aidha,...
Rose Ndauka: Sina mahusiano ya kimapenzi na MC Pilipili

Rose Ndauka: Sina mahusiano ya kimapenzi na MC Pilipili
Baada ya kuenea uvumi katika mitandao ya kijamii kuwa mchekeshaji MC Pilipili anatoka kimapeniz na Rose Ndauka, muigizaji huyo amekanusha uvumi huo.
Wiki chache zilizopita kupitia kipindi cha The Play List cha Times FM mchekeshaji huyo alidaiwa...
Basi la National Express lapata ajali Singida....Wawili Wafariki, 26 Wajeruhiwa

Basi la National Express lapata ajali Singida....Wawili Wafariki, 26 Wajeruhiwa
Watu wawili wamefariki dunia na wengine 26 kujeruhiwa kwenye ajali iliyohusisha basi la kampuni ya National Express T.662 DEF, baada ya kuacha barabara na kupinduka zaidi ya mara tatu katika eneo la kijiji cha Tumuli, wilaya...
Waziri wa Fedha na Mipango azungumzia ukuaji wa uchumi wa Taifa kwa kipindi cha Julai – Disemba, 2016

Waziri wa Fedha na Mipango azungumzia ukuaji wa uchumi wa Taifa kwa kipindi cha Julai – Disemba, 2016
Nashukuru kupata fursa ya kuzungumza nanyi leo kuhusu hali ya uchumi wa Taifa kwa kipindi cha Julai – Desemba, 2016 na matarajio hadi Juni 2017. Nitajitahidi kutumia lugha rahisi ili wananchi wa kawaida...