George Michael aaga dunia

George Michael aaga dunia


Image copyrightGETTY IMAGES
Image captionUingerezaGeorge Michael
Mwanamuziki nguli mwenye asili ya Uingereza, ambaye alijizolea umaarufu mnamo mwaka 1980 na kuwika ulimwenguni kutokana na mtindo wake wa mahadhi ya pop, amefariki dunia.
George Michael amekufa akiwa na umri wa miaka hamsini na tatu.Msemaji wa mwanamuziki huyo amearifu kwamba nguli huyo aliaga dunia akiwa nyumbani kwake Oxfordshire.
Kundi la Wham lilijipatia umaarufu ulimwengu mzima na kupata mafanikio makubwa kwa tungo zao kama 'Wake Me Up Before You Go-Go' na 'Careless Whisper'
kundi hilo lilijizolea umaarufu na kuwa kundi la kwanza la Magharibi kwa miondoko ya pop kufanya onesho la kimuziki nchini China.
Bendi hiyo iliposambaratika, George Michael aliendelea kujizoelea umaarufu akiwa mwanamuziki wa kujitegemea.
Katika kipindi cha muongo uliopita alikuwa akisumbuliwa na maradhi yasababishwayo na utumizi wa dawa za kulevya, ikiwemo kuendesha gari kwa kasi na kupoteza mwelekeo na kuingia kwenye duka mjini London huku akiwa amelewa dawa za kulevya.
Share:

No comments:

Post a Comment

Categories

Ordered List

  1. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit.
  2. Aliquam tincidunt mauris eu risus.
  3. Vestibulum auctor dapibus neque.

Sample Text

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua. Ut enim ad minim veniam, quis nostrud exercitation test link ullamco laboris nisi ut aliquip ex ea commodo consequat.

Definition List

Definition list
Consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua.
Lorem ipsum dolor sit amet
Consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua.

Support

Need our help to upload or customize this blogger template? Contact me with details about the theme customization you need.

Pages