Baada ya kuifunga mara 6 katika mechi 7 leo yanga yalazimishwa kutoa sare na africa Lyon



Ligi Kuu Soka Tanzania bara imeendelea leo December 23 2016 kwa Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania bara Dar es Salaam Young Africans kucheza dhidi ya African Lyon katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.
Kabla ya mchezo wa leo African Lyon kucheza na Yanga, rekodi zilikuwa zinasomeka kuwa kwa mechi 7 zilizopita, African Lyon hajawahi kumfunga Yanga huku akiwa amekubali kufungwa mara sita na kutoa sare mechi moja pekee toka tarehe 27/10/2010.
img-20161223-wa0050
Yanga leo wameshindwa kutamba mbele ya African Lyon na kujikuta wakilazimishwa sare ya kufungana goli 1-1, Venance Ludovic ndio aliipatia goli la kwanza African Lyon dakika ya 59, kabla ya Amissi Tambwe kuisawazishia Yanga goli dakika ya 74.
ALL GOALS: JKT Ruvu vs Yanga December 17 2016, Full Time 0-3

Share:

No comments:

Post a Comment

Categories

Ordered List

  1. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit.
  2. Aliquam tincidunt mauris eu risus.
  3. Vestibulum auctor dapibus neque.

Sample Text

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua. Ut enim ad minim veniam, quis nostrud exercitation test link ullamco laboris nisi ut aliquip ex ea commodo consequat.

Definition List

Definition list
Consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua.
Lorem ipsum dolor sit amet
Consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua.

Support

Need our help to upload or customize this blogger template? Contact me with details about the theme customization you need.

Pages