Mpina atoa maagizo kiwanda cha Azania

Mpina atoa maagizo kiwanda cha Azania

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Luhaga Mpina ameliagiza Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira NEMC kwa kushirikiana na uongozi wa kiwanda cha Azania kinachozalisha unga wa ngano, kupima kiwango cha ubora wa hewa inayoambatana na vumbi la unga wa ngano linalotoka kiwandani hapo.

Ameyasema hayo  jana  mara baada ya kufanya ziara ya ukaguzi wa mazingira jijini Dar es salaam, ambapo alisema kuwa amekuwa akipata malalamiko mengi kutoka kwa wananchi.

Alisema kuwa baada ya kuchukuliwa kwa vipimo hivyo na kutoa matokeo, Serikali ndiyo itajua hatua za kuchukua ili kuweza kumaliza tatizo hilo ambalo limekuwa likilalamikiwa na wananchi.

“Baada ya matokea hayo sasa serikali inaweza kuwa na nafasi ya moja kwa moja kuchukua hatua kwa mwenye kiwanda ikiwa ni pamoja na kukitoza faini kwa mujibu wa sheria, na kama matokeo ya vumbi na kelele zitokazo kiwandani hapo yatakuwa ndani ya kiwango, sasa hatua itakayofuata ni yakuangalia mahusiano kati ya mwenye kiwanda na wakazi majirani wa eneo hilo." alisema Mpina

Katika muendelezo wa ziara yake ya ufuatiliaji na utekelezaji wa sheria ya mazingira jijini Dar es Salaam, Mpina alitembelea kiwanda cha Chemi cotex  kilichopo Mbezi Beach.

Share:

No comments:

Post a Comment

Categories

Ordered List

  1. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit.
  2. Aliquam tincidunt mauris eu risus.
  3. Vestibulum auctor dapibus neque.

Sample Text

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua. Ut enim ad minim veniam, quis nostrud exercitation test link ullamco laboris nisi ut aliquip ex ea commodo consequat.

Definition List

Definition list
Consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua.
Lorem ipsum dolor sit amet
Consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua.

Support

Need our help to upload or customize this blogger template? Contact me with details about the theme customization you need.

Pages