TUNDU LISU APIGWA RISASI 5



Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani bungeni Mh.Tundu Lissu amemuwakia Spika 
kuvunja kanuni za bunge katika uwasilishaji wa ripoti za kamati mbili za madini.

Tundu Lissu anasema Spika amepokea ripoti mbiombio kuipeleka kwa Rais kabla ya kujadiliwa na wabunge ili ipelekwe kwa serikali ikiwa na maazimio ya bunge

Lissu amesema kanuni za bunge ziko wazi na ripoti zote za kamati na tume za kibunge huwasilishwa kwanza bungeni kujadiliwa na wabunge na kupokea maoni yao. Ameshangaa kuona ripoti inakimbizwa kwa rais wakati uchunguzi ulitokana na azimio la bunge na sio rais

Kwa hiyo wabunge wangepata nafasi ya kuchambua ripoti ile na kutoa maoni yao kwa serikali ndipo Spika angetakiwa kuwasilisha kwa rais

My Take
Ingejadiliwa bungeni tungeweza kuwajua majizi wengine waliorukwa kwa makusudi au bahati mbaya. Hata yule "Kiongozi mkubwa" angejulikana. Tungepata kujua kwa nini Naibu Waziri Kalemani(Mbunge was Chato) anarukwa wakati amekuwa mkuu wa idara ya sheria wizara ya madini kipindi ambacho mawaziri waliotumbuliwa wakihudumu
Share:

No comments:

Post a Comment

Categories

Ordered List

  1. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit.
  2. Aliquam tincidunt mauris eu risus.
  3. Vestibulum auctor dapibus neque.

Sample Text

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua. Ut enim ad minim veniam, quis nostrud exercitation test link ullamco laboris nisi ut aliquip ex ea commodo consequat.

Definition List

Definition list
Consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua.
Lorem ipsum dolor sit amet
Consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua.

Support

Need our help to upload or customize this blogger template? Contact me with details about the theme customization you need.

Pages