Hussein Bashe awataka wabunge wa CCM Waache Unafiki.....Kasema Yupo Tayari Kufukuzwa hata Uanachama wa CCM
Mbunge wa Nzega Mjini(CCM) Hussein Bashe amewataka wabunge wa CCM kuacha unafiki kuhusu kuwateka watu na kwamba yeye ni mmoja wa watu waliokamatwa na usalama wa taifa wakati wa mkutano Mkuu wa CCM.
"CCM acheni unafiki mimi nimeshakamatwa na watu wa usalama mnasema hawakamati, kwa hili nipo tayari mniondoe kwenye chama". Amesema Bashe
Bashe alikuja juu baada Waziri wa Tamisemi, George Simbachawene kumtaka Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe kuthibitisha kuwa matukio ya ukamataji yanafanywa na usalama wa Taifa
No comments:
Post a Comment