Live: Kuaga mwili wa aliyekuwa mbunge, Dkt. Elly Macha Dodoma
Mwili wa marehemu Dkt. Elly Marko Macha unaagwa leo Aprili 21, 2017, katika Viwanja vya Bunge mjini Dodoma, ambapo wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanaaga mwili huo na baada ya hapo kusafirishwa kuelekea nyumbani kwao Arusha.
Marehemu Dkt. Elly Macha alikuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hadi kifo kilipomkuta katika Hospitali ya New Cross Wolverhampton nchini Uingereza alikokuwa akipatiwa matibabu.
Bofya hapa kutazama moja kwa moja kutoka katika viwanja vya Bunge, Dodoma
Bofya hapa kutazama moja kwa moja kutoka katika viwanja vya Bunge, Dodoma
No comments:
Post a Comment