Diamond akabidhiwa bendera ya taifa kuliwakilisha taifa AFCON 2017 nchini Gabon
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Moses Nnauye (kushoto) akimkabidhi bendera ya Taifa Mwanamuziki wa bongo fleva Nasib Abdul maarufu kama Diamond Platinumz kwa ajili ya kwenda kuiwakilisha Tanzania kwenye Ufunguzi wa Mashindano ya AFCON 2017 yanayotarajiwa kufanyika nchini Gabon.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Moses Nnauye akiongea na wageni waalikwa pamoja na Waandishi wa Habari wakati wa hafla ya kumkabidhi bendera ya Taifa mwanamuziki wa Bongo Fleva Nasib Abdul maarufu kama Diamond Platinumz anayekwenda kushiriki katika Ufunguzi wa Mashindano ya AFCON 2017 yanayotarajiwa kufanyika nchini Gabon. Hafla hiyo imefanyika leo 11 Januari, 2017 Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.
Wageni waalikwa pamoja na Waandishi wa Habari wakifuatilia hotuba ya Waziri Nape Nnauye wakati wa hafla ya kukabidhi bendera ya Taifa kwa mwanamuziki wa Bongo Fleva Nasib Abdul maarufu kama Diamond Platinumz iliyofanyika leo 11 Januari, 2017 Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa DSTV Multi Choice Tanzania Bw. Salum Salum akiongea na Waandishi wa Habari pamoja na wageni waalikwa wakati wa hafla ya kukabidhi bendera ya Taifa kwa mwanamuziki wa Bongo Fleva Nasib Abdul maarufu kama Diamond Platinumz anayekwenda kushiriki katika Ufunguzi wa Mashindano ya AFCON 2017 yanayotarajiwa kufanyika nchini Gabon.
Balozi wa DSTV Bomba Bw. Lucas Mhuvile maarufu kama Joti akiongea na Waandishi wa Habari pamoja na wageni waalikwa wakati wa hafla ya kukabidhi bendera ya Taifa kwa mwanamuziki wa Bongo Fleva Nasib Abdul maarufu kama Diamond Platinumz iliyofanyika leo 11 Januari, 2017 Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Moses Nnauye, Mkurugenzi wa DSTV Multi Choice Tanzania Bw. Salum Salum pamoja na mwanamuziki wa bongo fleva Nasib Abdul maarufu kama Diamond Platinumz wakiteta jambo kabla ya kuanza kwa hafla ya kukabidhi bendera ya Taifa kwa mwanamuziki huyo anayekwenda kushiriki katika Ufunguzi wa Mashindano ya AFCON 2017 yanayotarajiwa kufanyika nchini Gabon.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Moses Nnauye (katikati) akimpongeza mwanamuziki wa bongo fleva Nasib Abdul maarufu kama Diamond Platinumz wakiteta jambo kabla ya kuanza kwa hafla ya kukabidhi bendera ya Taifa kwa mwanamuziki huyo anayekwenda kushiriki katika Ufunguzi wa Mashindano ya AFCON 2017 yanayotarajiwa kufanyika nchini Gabon. Anayeshuhudia kushoto ni Mkurugenzi wa DSTV Multi Choice Tanzania Bw. Salum Salum
Mwanamuziki wa bongo fleva Nasib Abdul maarufu kama Diamond Platinumz akimshukuru Waziri Nape Nnauye pamoja na Serikali kwa ujumla kwa mchango mkubwa inaotoa katika kukuza sekta ya Sanaa nchini wakati wa hafla ya kukabidhi bendera ya Taifa kwa mwanamuziki huyo anayekwenda kuiwakilisha Tanzania kwenye Ufunguzi wa Mashindano ya AFCON 2017 yanayotarajiwa kufanyika nchini Gabon.iliyofanyika leo 11 Januari, 2017 Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment