Mzee Majuto azungumzia taarifa za kifo chake zilizosambazwa
Kenye kipindi cha XXL ya Clouds FM leo Januuary 24 2017 Soudy Brown amezungumza na mchekeshaji King Majuto kuhusu taarifa zinazosambazwa ambazo sio sahihi kuwa amepata ajali na amefariki.
"Na mwaka huu mnataka kunia tena, mimi ni mzima, mara kwa mara wanatangaza mimi nimekufa…. mbaya sana", amesema Mzee Majuto
==> Msikilize hapo chini
No comments:
Post a Comment