Ray Kigosi afunguka kuhusu Mimba na mapenzi yake na Chuchu Hans

Ray Kigosi afunguka kuhusu Mimba na mapenzi yake na Chuchu Hans

Zikiwa zimebaki siku kadhaa msanii wa filamu nchini Chuchu Hans kujifungua msanii Ray Kigosi amefunguka na kumuomba Mungu mpenzi wake huyo ajifungue salama.

Ray amesema licha ya kupitia mambo mengi lakini Mungu amewapigania mpka sasa wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza kati ya mwezi huu wa kwanza kama siyo wa pili mwanzoni.

Ray Kigosi anasema ulikuwa ni kama utani vile lakini tayari leo umeshafika mwezi wa tisa toka mchumba wake huyo amepata ujauzito huo. 

"Kwanza kabisa napenda kumrudishia sifa na utukufu Mungu baba Muumba wa mbingu na ardhi tumepitia vingi vikwazo lakini yeye atutiaye nguvu aliendelea kusimama na sisi imara asante sana Mungu kwa kuwa mwema kwetu mengi yalisemwa juu yetu lakini Mungu baba umejibu ulikuwa mwezi mmoja kama utani vile hatimaye imefika miezi tisa na sasa kubaki siku chache. Nakuombea my lovely Mzungu Mungu akufanyie wepesi". Ray Kigosi

Share:

No comments:

Post a Comment

Categories

Ordered List

  1. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit.
  2. Aliquam tincidunt mauris eu risus.
  3. Vestibulum auctor dapibus neque.

Sample Text

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua. Ut enim ad minim veniam, quis nostrud exercitation test link ullamco laboris nisi ut aliquip ex ea commodo consequat.

Definition List

Definition list
Consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua.
Lorem ipsum dolor sit amet
Consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua.

Support

Need our help to upload or customize this blogger template? Contact me with details about the theme customization you need.

Pages