The pair clashed on the touchline during Chelsea’s 1-0 win over Manchester United in the FA Cup quarter-finals last week at Stamford Bridge.
Conte was upset about the number of fouls Manchester United’s players were committing during the first half of the game and the pair had an angry confrontation on the touchline in west London.
Begovic was on the bench for the game and admitted that he found both managers’ behaviour amusing.
Begovic is quoted as saying by Metro: “The two managers going at it, yelling at each other, it was a very intense match.
Wawili hao walikwaruzana dimbani Chelsea iliposhinda 1-0 dhidi ya Manchester United kwenye mechi ya robo fainali Kombe la FA wiki iliyopita Darajani Stamford.
Conte alichukizwa na idadi kubwa ya faulo walizofanya wachezaji wa Manchester United kipindi cha kwanza cha mchezo, jambo lililopelekea makocha hao kukasirikiana.
Begovic alikuwa kwenye benchi katika mechi hiyo na amekiri kwamba alishangazwa na tabia za mameneja hao.
Begovic alinukuliwa na Metro akisema: "Mameneja wawili hao walibwatukiana, ilikuwa mechi yenye mvutano sana.
"Matukio hayo hayakuwa muhimu, lakini yalikuwa ya kuchekesha, kwa sababu nilikuwa najizuia sana kucheka. Wakati wote kamera zilikuwa zimewaelekea, tulijitahidi kuwa na sur ngumu ili tusiwacheke wakufunzi hao.
"Haikuwa busara, lakini walizidi.
"Walikasirikiana kweli, lilikuwa jambo kubwa na nadhani wanachukiana katika kila mechi wanayokutana."
Manchester United walipoteza kwa Chelsea mechi ya pili msimu huu katika uwanja wa Stamford Bridge, baada ya kufungwa 4-0 katika mechi ya Ligi.
Chelsea watasafiri kwenda Old Trafford kukutana na Manchester United Aprili 16 Ligi Kuu Uingereza huku Blues wakishika usukani.
No comments:
Post a Comment