Weekend imeanza na hii mpya kutoka kwa Legend Jay Moe Famous ambapo leo March 18 2017 ametuletea video ya wimbo wake mpya unaitwa ‘Nisaidie Kushare’.
Unaweza kutazama hapa chini kwa kubonyeza Play pia usiache kuniachia comment yako ili Jay Moe akisoma ajue Watanzania wameipokea vipi hii>>>
Video: Nilijua itakuwa ngumu kufanya kazi na Diamond, ni mtu mkubwa- IYO>>>
No comments:
Post a Comment