Lawrence Masha Ajitoa katika mbio za kugombea urais wa TLS .....Atangaza kumuunga mkono Tundu Lissu.
Wakati kesho kukitarajiwa kufanyika uchaguzi wa Rais wa chama cha wanasheria wa Tanganyika, leo wanasheria hao wamekuatana Arusha kwenye mkutano mkuu wa chama cha wanasheria hao.
Katika mkutano huo, aliyekuwa mgombea wa Urais wa TLS, Mwanasheria Lawrance Masha ametangaza kujiondoa kuwania Urais huo na amesema anamuunga mkono Tundu Lissu na kura zake apigiwe Tundu Lissu.
No comments:
Post a Comment