Rais Magufuli kufanya ziara ya siku mbili kwa waathirika wa tetemeko la ardhi Kagera 1 january 2017

Rais Magufuli kufanya ziara ya siku mbili kwa waathirika wa tetemeko la ardhi Kagera 1 january 2017

Ikiwa imepita miezi mitatu na siku kadhaa toka kutokea kwa tetemeko la Ardhi mkoani Kagera leo Rais wa Jamhuri wa Muungano Mh. John Pombe Magufuli anategemewa kuwasili mkoani humo kwa ziara ya siku mbili yenye lengo la kuwatembelea wananchi walioathirika na tetemeko la Ardhi lakini pia kuzindua na kuweka mawe ya msingi katika miradi kadhaa ya maendeleo ambayo yaliathiriwa kutokana na tetemeko hilo mkoani humo.

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Mstapha jana alisema Rais ataingia asubuhi ya leo akitokea Geita na baadaye atahudhuria ibada ya misa na kesho yake ndiyo atawatembelea baadhi ya wananchi waliotumia nguvu zao kujenga nyumba zao na makazi baada ya kuharibiwa na tetemeko la Ardhi kisha atatembelea miradi ya ujenzi wa shule ya Sekondari ua Ihungo na kuweka jiwe la msingi na kuzungumza na wananchi.
Share:

Related Posts:

No comments:

Post a Comment

Categories

Ordered List

  1. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit.
  2. Aliquam tincidunt mauris eu risus.
  3. Vestibulum auctor dapibus neque.

Sample Text

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua. Ut enim ad minim veniam, quis nostrud exercitation test link ullamco laboris nisi ut aliquip ex ea commodo consequat.

Definition List

Definition list
Consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua.
Lorem ipsum dolor sit amet
Consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua.

Support

Need our help to upload or customize this blogger template? Contact me with details about the theme customization you need.

Pages