Idd Azzan awasili kituo cha Polisi kuitikia wito wa RC Makonda
Aliyewahi kuwa Mbunge wa jimbo la Kinondoni, Idd Azzan ameripoti Kituo Kikuu cha Polisi kuhojiwa kuhusu tuhuma za kuhusika na Dawa za Kulevya.
Viongozi wengine waliotakiwa kufika polisi kuhojiwa ni Askofu Josephat Gwajima na Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji, ambao waliripoti jana kisha wakaondolewa na kupelekwa kusikojulikana
No comments:
Post a Comment