Home »
» Kituo cha Mafuta Tegeta Jijini Dar Chateketea Kwa Moto
Kituo cha Mafuta Tegeta Jijini Dar Chateketea Kwa Moto
Kituo cha mafuta kilichopo eneo la Tegeta Azania jijini Dar as Salaam kineteketea kwa moto.Chanzo cha ajali hiyo ni gari lililokuwa likishusha shehena ya mafuta kushika moto.
No comments:
Post a Comment