Tuzo ya Mwanakandanda Bora wa Afrika 2016
Habari kuu
AFOTY: Wasifu wa Andre Ayew
Mchezaji wa kimataifa wa Ghana Andre Ayew ameonyesha kwamba siyo mtu wa kuogopa matatizo. Fomu yake ilikuwa ya kuvutia kiasi kwamba, mwezi Agosti timu ya West Ham ya mashariki ya jiji la London ilivunja rekodi.
- 12 Novemba 2016
AFOTY: Wasifu wa Pierre-Emerick Aubameyang
Tangu alipoanza kucheza, Pierre-Emerick Aubameyang, mshambuliaji wa Borussia Dortmund ambaye ni mzaliwa wa Gabon alishamiri.
- 12 Novemba 2016
AFOTY: Wasifu wa Riyad Mahrez
Riyad Mahrez amekuwa kiungo muhimu katika kuhakikisha kuwa Algeria inafuzu katika michuano ya kombe la mataifa bingwa Afrika itakayochezwa nchini Gabon.
AFOTY: Wasifu wa Yaya Toure
Yaya Toure amewahi kushinda Tuzo ya BBC ya Mwanakandanda Bora wa Afrika wa Mwaka mara mbili na ni mshindi mara nne wa taji la mchezaji bora wa mwaka wa taji linalotolewa na shirikisho la soka barani Afrika (CAF)
- 12 Novemba 2016
AFOTY: Wasifu wa Sadio Mane
Sadio Mane ni mshambuliaji wa Senegal anayetegemewa sana na mnamo mwezi Mei 2015 aliweka rekodi mpya ya kufunga mabao matatu kwa haraka katika historia ya ligi hiyo wakati alipofunga hatrick dhidi ya Aston Villa.
No comments:
Post a Comment