Putin: Trump ameridhia kuungana na mataifa yenye nguvu

Putin: Trump ameridhia kuungana na mataifa yenye nguvu


Donald Trump alimsifia sana Vladmir Putin wakati wa kampeni za urais
Image captionDonald Trump alimsifia sana Vladmir Putin wakati wa kampeni za urais
Raisi wa Urus Vladimir Putin amesema kuwa Rais mteule wa Marekani Donald Trump ameridhia kuungana na mataifa hayo yenye nguvu.
Putin amesema yuko tayari kurudisha mahusiano yao yaliyokuwa yanaenda mrama kutokana na mzozo wa Ukraine na Syria ingawa tarehe ya kukutana kwao haijatajwa bado.
kiongozi huyo wa Urusi pia amesema kuwa kulikuwa na tofauti kubwa kati ya sera na kampeni za kisiasa za Marekani.
Rais huyo mteule wa Marekani anaendelea kukutana wanachama muhimu wa bunge na mojawapo ya watu anaotazamia ni Jenerali James Mattis anayejulikana kwa kikosi chake kama mbwa mwenye hasira ambaye ni mgombea anayeongoza katika kinyanganyiro cha kuwa waziri wa ulinzi wa marekani.
Kumekuwa na tetesi kuwa trump atamteua aliyekuwa mgombea wa Urais Mitty Romney katika ngazi ya juu ya uongozi, aliyewahi kusema kuwa Trump ni laghai.
Share:

No comments:

Post a Comment

Categories

Ordered List

  1. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit.
  2. Aliquam tincidunt mauris eu risus.
  3. Vestibulum auctor dapibus neque.

Sample Text

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua. Ut enim ad minim veniam, quis nostrud exercitation test link ullamco laboris nisi ut aliquip ex ea commodo consequat.

Definition List

Definition list
Consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua.
Lorem ipsum dolor sit amet
Consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua.

Support

Need our help to upload or customize this blogger template? Contact me with details about the theme customization you need.

Pages