AUDIO: Watuhumiwa 11,503 wa dawa za kulevya watiwa mbaroni

AUDIO: Watuhumiwa 11,503 wa dawa za kulevya watiwa mbaroni

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema jumla ya watuhumiwa  11,503 wa uzalishaji, usambazaji, uuzaji na utumiaji wa dawa za kulevya wamekamatwa kwa kipindi cha Julai mwaka jana hadi Januari mwaka huu nchini.

Akizungumza leo katika kikao cha Baraza la Mawaziri cha kwanza tangu Serikali kuhamia mjini Dodoma, Majaliwa amesema katika kipindi hicho kesi za kujibu zilikuwa ni 9,811 ambapo watuhumiwa 941 walikutwa na kesi za kujibu huku 238 wakiachiwa huru na kesi 478 bado zinaendelea mahakamani.

Kuhusu pombe za viroba, Majaliwa  amesema oparesheni inaendelea katika mikoa mbalimbali baada ya kupigwa marufuku March Mosi mwaka huu na kwamba kupitia oparesheni hiyo wamegundua mambo mengine ikiwemo uwepo wa makampuni yaliyokuwa hayalipi kodi.

Kwa upande wa ajenda za kikao hicho cha mawaziri, Majaliwa amesema wizara zitatoa takwimu za watumishi wangapi waliohamia, idadi ya watumishi wote,  wamepanga awamu ngapi za kuhamia Dodoma .

==>Msikilize hapo chiniakiongea
Share:

Related Posts:

No comments:

Post a Comment

Categories

Ordered List

  1. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit.
  2. Aliquam tincidunt mauris eu risus.
  3. Vestibulum auctor dapibus neque.

Sample Text

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua. Ut enim ad minim veniam, quis nostrud exercitation test link ullamco laboris nisi ut aliquip ex ea commodo consequat.

Definition List

Definition list
Consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua.
Lorem ipsum dolor sit amet
Consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua.

Support

Need our help to upload or customize this blogger template? Contact me with details about the theme customization you need.

Pages