Mlipuko wa kimeta uliowauwa wanyama pori 130 Tanzania umedhibitiwa
- Saa moja iliyopita
Mlipuko wa ugonjwa wa kimeta uliotokea katika hifadhi ya taifa kaskazini mwa Tanzania na kuuwa takriban wanyama pori 130 hatimae umedhibitiwa. Hayo ni kwa mujibu wa jopo la watalamu wa maswala ya afya waliokuwepo katika eneo hilo.
Wataalamu hao wamesema mpaka mwishoni mwa juma, jumla ya mizoga mia moja na thelathini ya wanyamapori wakiwemo nyumbu na swara imekwisha chomwa na kuzikwa. kama anavyofahamisha zaidi Aboubakar Famau.
No comments:
Post a Comment