Jeshi la Kenya lakana kunufaika na makaa Somalia

Jeshi la Kenya lakana kunufaika na makaa Somalia


Makaa nchini Somalia ambayo wanajeshi wa Kenya wanatuhumiwa kutoza kodiImage copyrightAFP
Image captionMakaa nchini Somalia ambayo wanajeshi wa Kenya wanatuhumiwa kutoza kodi
Kenya imetupilia mbali tuhuma nyengine kwamba wanajeshi wake wananufaika kutokana na mkaa unaosafirishwa kutoka Somalia biashara ambayo imeendelea hata baada ya Umoja wa Mataifa kutaka ipigwe marufuku.
Msemaji wa rais (Manoah Esipisu) alieleza kuwa, inaonesha ripoti ya Umoja wa Mataifa inagusia tuhuma za zamani za mashirika yasiyokuwa ya serikali, na nia ya madai hayo ni kuwavunja moyo wanajeshi wa Kenya.
Ripoti ya Umoja wa Mataifa ilikiisia kuwa jeshi la Kenya lilikuwa linapata takriban dola milioni 12 kila mwaka, kwa kutoza ushuru mkaa unaosafirishwa kupelekwa nchi za nje.
Share:

Related Posts:

No comments:

Post a Comment

Categories

Ordered List

  1. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit.
  2. Aliquam tincidunt mauris eu risus.
  3. Vestibulum auctor dapibus neque.

Sample Text

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua. Ut enim ad minim veniam, quis nostrud exercitation test link ullamco laboris nisi ut aliquip ex ea commodo consequat.

Definition List

Definition list
Consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua.
Lorem ipsum dolor sit amet
Consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua.

Support

Need our help to upload or customize this blogger template? Contact me with details about the theme customization you need.

Pages