Je,rais Magufuli ametimiza ahadi mwaka mmoja madarakani?

Rais John Magufuli wa Tanzania ametimiza mwaka mmoja tangu aingie madarakani. Wapo wengi wanaopendezwa na mtindo wa uongozi wake lakini, wakosoaji, japo wanafurahishwa na baadhi ya mambo, kuna mengine hawafurahishwi nayo. Kama sehemu ya maadhimisho yake, Rais Magufuli leo alikutana na waandishi wa habari Ikulu ya Dar es salaam. Pamoja na mambo mengine amesema bado hajaridhishwa na mapambano dhidi ya rushwa, lakini anafurahishwa kwamba sasa nidhamu imeanza kurejea katika utumishi wa umma. Mwandishi wetu Sammy Awami amefanya tathmini ya mwaka mmoja wa serikali ya Rais Magufuli na kututumia taarifa hii

.
Share:

Related Posts:

No comments:

Post a Comment

Categories

Ordered List

  1. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit.
  2. Aliquam tincidunt mauris eu risus.
  3. Vestibulum auctor dapibus neque.

Sample Text

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua. Ut enim ad minim veniam, quis nostrud exercitation test link ullamco laboris nisi ut aliquip ex ea commodo consequat.

Definition List

Definition list
Consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua.
Lorem ipsum dolor sit amet
Consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua.

Support

Need our help to upload or customize this blogger template? Contact me with details about the theme customization you need.

Pages