Shabiki ajizolea shilingi Milioni 29 kwa kubashiri mechi.
Shabiki wa soka kutoka mkoani Arusha, KAUNGAME SOKO amejinyakulia kitita cha shilingi MILONI 29 baada ya kubashiri vyema mechi kupitia kampuni ya ubashiri ya M-BET.
Mkazi wa Arusha, Bw. Kaungame Soko (kulia) akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 29 kutoka kwa Mkurugenzi wa M-bet, Dhiresh Kaba (kushoto) .
Shabiki wa soka kutoka mkoani Arusha, KAUNGAME SOKO amejinyakulia kitita cha shilingi MILONI 29 baada ya kubashiri vyema mechi kupitia kampuni ya ubashiri ya M-BET.
Mkurugenzi wa M-BET, DHIRESH KAABBA, amesema, kubashiri matokeo ya mechi za ligi mbalimbali duniani kunawapa mashabiki wa soka burudani ya kipekee huku mshindi, KAUNGAME SOKO, akiwashauri mashabiki wa soka kuendelea kubashiri.
Mashabiki wa soka nchini wamekua wakibashiri mechi mbalimbali za soka na kujinyakulia zawadi kupitia makampuni ya kubashiri matokeo ya mechi.

No comments:
Post a Comment