TAIFA STARS kukipiga na timu ya taifa ZIMBABWE
Timu ya Taifa ya Tanzania, (TAIFA STARS) itacheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa na timu ya Taifa ya ZIMBABWE (THE WORRIORS) inayojianda na michuano ya Mataifa ya Afrika
Kikosi cha timu ya Taifa ya TANZANIA, TAIFA STARS
Timu ya Taifa ya Tanzania, (TAIFA STARS) itacheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa na timu ya Taifa ya ZIMBABWE (THE WORRIORS) inayojianda na michuano ya Mataifa ya Afrika itakayofanyika nchini GABON mapema mwakani.
Kocha wa Taifa Stars, CHARLES BONIFACE MKWASA ameimbia TBC kuwa mchezo huo ni muhimu mno kwa timu yake ili kuweza kulinda viwango vya ubora ambavyo kwa sasa wameshuka
Pia Mkwasa amesema hatofanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi chake kwenye mchezo huo dhidi ya ZIMBABWE kwa sababu ni mchezo muhimu hivyo atatumia wachezaji wengi wazoefu.
Katika hatua nyingine timu ya Taifa ya vijana ya chini ya miaka kumi na saba (SERENGETI BOYS) imeingia kambini kujianda na michuano maalumu yaliyoandaliwa na shirikisho la soka la KOREA KUSINI ambapo timu hiyo inaenda kushiriki baada ya kupata mualiko.

No comments:
Post a Comment