DRC yatisha kufunga vyombo vya habari vya kigeni

DRC yatisha kufunga vyombo vya habari vya kigeni


Waziri wa habari Lambert Mende amevipa vyombo vya habari siku 30 kutekeleza matakwa ya serikaliImage copyrightAFP
Image captionWaziri wa habari Lambert Mende amevipa vyombo vya habari siku 30 kutekeleza matakwa ya serikali
Umoja wa Mataifa unasema kuwa kuna wasi wasi kufuatia sheria mpya nchini Jamhuri ya Demokrasi ya Congo, ambayo inavitaka vituo vya habari vya kigeni kujiandikisha kama makampuni ya nchi hiyo la sivyo matangazo yao yazimwe.
Sheria hizo mpya zitaanza kutekelezwa mwishoni mwa wiki hii.
Vyombo vya habari vya kigeni sasa vitaruhusiwa kutangaza nchini DRC, ikiwa asilimia kubwa ya wenye hisa mi raia wa Congo.
Maafisa wamevipa vyombo hivyo muda wa siku 30 kutekeleza matakwa hayo
Sheria hizo zinaathiri vitua kama Radio France Kimataifa(RFI) Sauti ya Amerika na BBC.
Matangazo ya RFI kwa sasa yamezimwa nchinin DRC, tangu itangaze mipango ya upinzani ya kufanya maandamano mapema mwezi ujao.
Share:

Related Posts:

No comments:

Post a Comment

Categories

Ordered List

  1. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit.
  2. Aliquam tincidunt mauris eu risus.
  3. Vestibulum auctor dapibus neque.

Sample Text

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua. Ut enim ad minim veniam, quis nostrud exercitation test link ullamco laboris nisi ut aliquip ex ea commodo consequat.

Definition List

Definition list
Consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua.
Lorem ipsum dolor sit amet
Consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua.

Support

Need our help to upload or customize this blogger template? Contact me with details about the theme customization you need.

Pages