Kangi Lugola Adai Mkataba wa EPA Utatuletea USHOGA.....Asisitiza serikali isiusaini ili Kuwalinda Wanaume
Mbunge wa Mwibara Kangi Lugola, ameupinga kwa nguvu zake zote mkataba wa EPA kwa madai kwamba hauna manufaa yoyote kwa taifa letu na kwamba ndani ya mkataba huo kuna vishiria vya USHOGA
Lugola aimeitaka serikali isiusaini mkataba huo ili kulinda maumbile ya wanaume yanayotaka kuharibiwa kupitia mkataba huo.
No comments:
Post a Comment