Msichana wa Chikok apatikana akiwa na mtoto Nigeria

Msichana wa Chikok apatikana akiwa na mtoto Nigeria


Boko Haram hutumia wasichana hao kueneza propagandaImage copyrightAFP
Image captionBoko Haram hutumia wasichana hao kueneza propaganda
Mmoja wa wasichana wa chibok waliotekwa nyara na kundi la Boko Haram nchini Nigeria, amepatikana akiwa na mtoto wa kiume wa umri wa miezi kumi kwa mujibu wa jeshi la nchi hiyo.
Msichana huyo alipatikana eneo la Pulkwa katika jimbo la Kaskazini la Borno.
Tangazo hilo lilitokea wiki tatu baada ya wasichana wengine 21 wa Chibok waliokolewa baada ya majadiliano na wanamgambo wa Boko Haram waliowateka.
Zaidi ya wasichana 270 wa shule walitekwa nyara kutoka mji ulio Kaskazini Mashariki mwa Nigeria mwaka 2014.
Boko Haram wamekuwa wakipigania kujitenga Kaskazini mwa Nigeria, kwenye mapigano ambayo yanakadiriwa kusababisha vifo vya watu 20,000.
Share:

Related Posts:

No comments:

Post a Comment

Categories

Ordered List

  1. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit.
  2. Aliquam tincidunt mauris eu risus.
  3. Vestibulum auctor dapibus neque.

Sample Text

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua. Ut enim ad minim veniam, quis nostrud exercitation test link ullamco laboris nisi ut aliquip ex ea commodo consequat.

Definition List

Definition list
Consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua.
Lorem ipsum dolor sit amet
Consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua.

Support

Need our help to upload or customize this blogger template? Contact me with details about the theme customization you need.

Pages