Melania Trump alifanya kazi bila kibali Marekani

Melania Trump alifanya kazi bila kibali Marekani


Melani, mwana mitindio huyo wa zamani kutoka Slovenia aliwasili nchini Marekani mwaka 1996Image copyrightAFP
Image captionMelani, mwana mitindio huyo wa zamani kutoka Slovenia aliwasili nchini Marekani mwaka 1996
Shirika la habari la Associated Press linasema limepewa nyaraka zinazoonyesha kuwa mke wa Donald Trump, ambaye ni mzaliwa wa Slovenia, Melani, alifanya kazi bila kibali alipowasili mara ya kwanza nchini Marekani.
Mwana mitindio huyo wa zamani aliwasili nchini Marekani mwaka 1996 na alipewa kibali cha kufanya kazi mwezi Agosti mwa huohuo.
Lakini kulingana na nyaraka hizo alilipwa dola 20,000 kwa kushiriri maonyesho ya mitindo kabla ya kupata kibali kamili.
Bwana Trump ametangaza msimamo mkali dhidi ya wahamiaji haramu wakati wa kampeni, na kuapa kuwa atawafukuza wale walio na historia ya uhalifu. Kampeni ya Trump haijatoa tamko lolote kuhusu madai hayo.
Share:

Related Posts:

No comments:

Post a Comment

Categories

Ordered List

  1. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit.
  2. Aliquam tincidunt mauris eu risus.
  3. Vestibulum auctor dapibus neque.

Sample Text

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua. Ut enim ad minim veniam, quis nostrud exercitation test link ullamco laboris nisi ut aliquip ex ea commodo consequat.

Definition List

Definition list
Consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua.
Lorem ipsum dolor sit amet
Consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua.

Support

Need our help to upload or customize this blogger template? Contact me with details about the theme customization you need.

Pages