Ommy Dimpoz Na Alikiba Wamekuletea “KAJIANDAE” Inapatikana Mkitodotcom

Ommy Dimpoz Na Alikiba Wamekuletea “KAJIANDAE” Inapatikana Mkitodotcom

Mkali wa wa Bongofleva Ommy Dimpoz aliyetamba na kibao chake cha “Baadae” ametuletea burudani mpya akiwa na Alikiba inaitwa‘Kajiandae’ ambayo imefanywa na muongozaji mwenye kipaji kutoka Afrika Kusini, Justin Campus wa Gorilla Films ambayo unaweza kuipakua kutoka Mkito kwa kubofya hapa http://bit.ly/Kajiandae
Hii inakuwa kolabo ya pili kati ya Ommy Dimpoz na Alikiba baada ya miaka minne. Alikiba yuko chini ya usimamizi wa Studio ya Kimataifa ya ROCKSTAR4000 na Rockstar Publishing wakati Ommy Dimpoz yuko chini ya PKP Management.

Wimbo huu uliobeba ujumbe wa mapenzi unazungumzia mwanamke wa ndoto zao uliandikwa na Ommy Dimpoz pamoja na Alikiba na kufanyiwa kazi na mtayarishaji Emmma The Boy. Video pia iko tayari katika chaneli ya YouTube ya AliKiba na unaweza kuitizama hapo chini. Pakua :http://bit.ly/Kajiandae kisha tupe mrejesho wako.

Share:

Related Posts:

No comments:

Post a Comment

Categories

Ordered List

  1. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit.
  2. Aliquam tincidunt mauris eu risus.
  3. Vestibulum auctor dapibus neque.

Sample Text

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua. Ut enim ad minim veniam, quis nostrud exercitation test link ullamco laboris nisi ut aliquip ex ea commodo consequat.

Definition List

Definition list
Consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua.
Lorem ipsum dolor sit amet
Consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua.

Support

Need our help to upload or customize this blogger template? Contact me with details about the theme customization you need.

Pages