Jina La Mkurugenzi: GWAKISA MWAMKILI.

Nawashukuru wote mnao itazama Blog hii kila siku nashukuru sana naomba muendele hivi kila siku ili kuikuza blog hii.
KAZI YA BLOG HII:
- Inarusha habari mbalimbali za michezo na habari zinginezo za nje na ndani ya nchi matokeo ya ligi zote bara na ulaya
- Pia inapokea matangazo ya aina zote video na maneno ikuze bihashara yako kwa matangazo ya uhakika
- Pia compuny ya blog hii ina toa mambo mbalimbali kama ifuatavyo:
1: Kudizaini Website
2: Kutenzeneza Computer Aina zote
3: Tuna Flash Simu Aina zote
4: Tunatengeneza BLOG.
5: Tunadizaini Mabango aina zote
6: Tuna dizaini Networking
7: Tuna tengeneza Business card aina zote
Ushauli unaruhusiwa comment chini ya tangazo hili nitaupata.
WASILIANA NASI:
Whatsapp No: 0768512722.
E-mail: wgmofficeforall@gamil.com
Facebook Name: Mwamkili Gks.
Call: 0768512722.
Office No: +255-25-2800721
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
safi mkuu
ReplyDelete