Wanaume 'wahasiwa' kwa pamoja Nairobi

Wanaume 'wahasiwa' kwa pamoja Nairobi

Shughuli ya kufunga mirija ya uzazi kwa wanaume (vasectomy) imetangazwa moja kwa moja kutoka kutoka mjini Nairobi, Kenya.
Image captionShughuli ya kufunga mirija ya uzazi kwa wanaume (vasectomy) imetangazwa moja kwa moja kutoka kutoka mjini Nairobi, Kenya.
Shughuli ya kufunga mirija ya uzazi kwa wanaume (vasectomy) imetangazwa moja kwa moja kutoka chumba cha upasuaji kutoka mjini Nairobi, Kenya kama njia ya kuhamasisha watu kuhusu njia hiyo ya kupanga uzazi .
Takriban wanaume 150 walijiandisha kufanyiwa shughuli hiyo iliyochukua muda wa takriban dakika 20.
Shughuli ya kufunga mirija ya uzazi kwa wanaume (vasectomy) imetangazwa moja kwa moja kutoka kutoka mjini Nairobi, Kenya.
Image captionShughuli ya kufunga mirija ya uzazi kwa wanaume (vasectomy) imetangazwa moja kwa moja kutoka kutoka mjini Nairobi, Kenya.
Madaktari walifanya shughugli hiyo nyuma ya jukwaa lilifunikwa katik ukumbi wa sanaa mjini Nairobi.
Wamaume nchini Kenya ambao mara nyingi wana hofu ya kufanyiwa zoezi hilo la kupanga uzazi mara nyingi uhofia kunyanyapaliwa.
Shughuli ya kufunga mirija ya uzazi kwa wanaume (vasectomy) imetangazwa moja kwa moja kutoka kutoka mjini Nairobi, Kenya.
Image captionShughuli ya kufunga mirija ya uzazi kwa wanaume (vasectomy) imetangazwa moja kwa moja kutoka kutoka mjini Nairobi, Kenya.
Wale wanaoendesha kampeni ya zoeizi hilo wanasema kuwa ndiyo njia salama ya kupanga uzazi.
"Wanaume wengi hudhani kuwa zoezi hilo humnadili mwananamme kuwa mwanamke," Jack Zhang ambaye ni daktari kutoka Canada aliiambia WGM
Baadhi ya wanaume wana hofu kuwa watu hufa kwa wingi barani Afrika kwa hivyo kuna haja ya kuzaa watoto wengi.
Shughuli ya kufunga mirija ya uzazi kwa wanaume (vasectomy) imetangazwa moja kwa moja kutoka kutoka mjini Nairobi, Kenya.
Image captionShughuli ya kufunga mirija ya uzazi kwa wanaume (vasectomy) imetangazwa moja kwa moja kutoka kutoka mjini Nairobi, Kenya.
Mwandishi wa WGM mjini Nairobi, anasema kuwa baadhi ya wanaume walishiriki zoezi hilo baada ya kuchochewa na gharama ya kulea familia kubwa.
"Mbinu ambazo mke wangu alikuwa akitumia kupanga uzazi, zilikuwa na madhara kwake, kwa hivyo mimi niliamua kwenda kukatwa mirija ya ya uzazi," mwanamme moja aliiambia WGM.
Share:

No comments:

Post a Comment

Categories

Ordered List

  1. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit.
  2. Aliquam tincidunt mauris eu risus.
  3. Vestibulum auctor dapibus neque.

Sample Text

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua. Ut enim ad minim veniam, quis nostrud exercitation test link ullamco laboris nisi ut aliquip ex ea commodo consequat.

Definition List

Definition list
Consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua.
Lorem ipsum dolor sit amet
Consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua.

Support

Need our help to upload or customize this blogger template? Contact me with details about the theme customization you need.

Pages