Bondia MASHALI auwawa kwa kushambuliwa
Bondia wa ngumi za kulipwa nchini THOMAS MASHALI amefariki dunia usiku wa kuamkia leo KIMARA jijini DSM.
Bondia THOMAS MASHALI
Bondia wa ngumi za kulipwa nchini THOMAS MASHALI amefariki dunia usiku wa kuamkia leo KIMARA jijini DSM.
Akizungumza na TBC, Promota wa ngumi za kulipwa nchini, KAIKE SIRAJU amesema MASHALI amefariki dunia baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana katika eneo la KIMARA BONYOKWA jijini DSM.

No comments:
Post a Comment