INTER MILAN yamfukuza kazi kocha wake.
Timu ya INTER MILLAN ya ITALIA imemfuka kazi kocha wake, FRANK DE BOER akiwa amekaa kwenye wadhifa huo kwa siku 85 na kuiongoza kwenye michezo 14
Aliyekuwa kocha wa INTER MILAN ya ITALIA, FRANK DE BOER.
Timu ya INTER MILLAN ya ITALIA imemfuka kazi kocha wake, FRANK DE BOER akiwa amekaa kwenye wadhifa huo kwa siku 85 na kuiongoza kwenye michezo 14 kutokana na timu hiyo kufanya vibaya.
INTER MILLAN ni ya 12 kwenye msimamo wa ligi kuu ya Italia na jumapili iliyopita ilipokea kipigo cha bao moja kwa bila toka kwa SAMPDORIA na sasa kocha wa timu ya vijana wa timu hiyo STEFANO VECCHI atakaimu wadhifa wake kwa michezo ijayo.
FRANK DE BOER alijiunga na INTER MILLAN kwenye msimu wa usajili wa kiangazi uliopita na kusaini kandarasi ya miaka mitatu kuchukua nafasi ya ROBERTO MANCINI na sasa timu hiyo inatafuta kocha wake wa tisa toka mwaka 2010 pale kocha aliepa mafanikio JOSE MOURINHO alipoachana nayo baada ya kuipa ubingwa wa Ulaya.
Kabla ya kujiunga na Inter MILLAN, FRANK DE BOER aliifundisha AJAX Amsterdam kwa miaka sita na kutwaa taji la Uholanzi mara nne lakini alikuwa na matokeo mabaya na INTER MILLAN baada ya kushinda michezo minne kati ya michezo 11 na moja waliyocheza na inaburuza mkia kwenye kundi lao la kombe la EUROPA.

No comments:
Post a Comment