Chapisho linalomfananisha bi Obama na 'sokwe' lazua hisia

Chapisho linalomfananisha bi Obama na 'sokwe' lazua hisia


Bi Michelle Obama
Image captionBi Michelle Obama
Chapisho la kibaguzi kuhusu mke wa rais wa Marekani Michelle Obama limezua utata unaomuhusu meya wa jimbo la Virginia.
Pamela Ramsey Taylor ,ambaye anaendesha shirika moja la kihisani katika kaunti ya Clay, alimfananisha Michelle Obama na 'sokwe' .
''Itakuwa vyema kuwa na mtu anayefuata mitindo,mrembo na mke wa kwanza mwenye heshima.Nimechoka kuona sokwe lililovaa viatu'',alisema.
Meya mwengine kutoka eneo hilo Beverly Whaling alijibu kwa kusema ''umeifanya siku yangu nzuri''.
Chapisho la facebook lililomuhusicha bi Obama na sokweImage copyrightFACEBOOK
Image captionChapisho la facebook lililomuhusicha bi Obama na sokwe
Bi Beverly Whaling ni meya wa mji wa Clay ambao una idadi ya takriban watu 491.
Mji huo hauna wakaazi wa Marekani wenye asili ya Kiafrika,kulingana na idadi ya watu iliotolewa 2010.
Katika kaunti ya Clay zaidi ya asilimia 98 ya wakaazi 9,000 ni watu weupe.
Licha ya idadi hiyo ndogo katika jimbo hilo ,chapisho hilo la facebook lilisambaa nchini Marekani na katika vyombo vya habari vya kimataifa huku ombi la kuwataka wanawake wote wawili kufutwa kazi likikusanya saini 85,000.
Bi Obama akiwa pamoja na mke wa rais mteule wa Marekani Melania TrumpImage copyrightAFP
Image captionBi Obama akiwa pamoja na mke wa rais mteule wa Marekani Melania Trump
Gazeti la The Washington post na lile la New York Daily yaliripoti kwamba bi Taylor aliondolewa katika wadhfa wake siku ya Jumatatu.
Share:

Related Posts:

No comments:

Post a Comment

Categories

Ordered List

  1. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit.
  2. Aliquam tincidunt mauris eu risus.
  3. Vestibulum auctor dapibus neque.

Sample Text

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua. Ut enim ad minim veniam, quis nostrud exercitation test link ullamco laboris nisi ut aliquip ex ea commodo consequat.

Definition List

Definition list
Consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua.
Lorem ipsum dolor sit amet
Consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua.

Support

Need our help to upload or customize this blogger template? Contact me with details about the theme customization you need.

Pages