Samsung yanunua kampuni ya kutengeza magari

Samsung yanunua kampuni ya kutengeza magari


Kampuni ya kilelektroniki ya SamsungImage copyrightGETTY IMAGES
Image captionKampuni ya kilelektroniki ya Samsung
Kampuni ya vifaa vya kielektroniki ya Samsung imeinunua kampuni ya kutengeza magari ya Harman International Industries kwa kitita cha dola bilioni 8 pesa taslimu ikitaka kujikita katika safu ya utengenezaji wa magari ya kiteknolojia.
Samsung imesema kuwa utengezaji wa magari ya kielektroniki ni ''kipaombele muhimu sana''.
Soko la magari ya kiteknolojia linatarajiwa kuimarika na kufikia dola bilioni 100 kufikia 2025.
''Magari ya kesho yatabadilishwa na teknolojia mpya kama vie simu zilivyobadilika katika kipindi cha muongo mmoja uliopita," alisema Young Sohn, Samsung's ambaye ni rais na afisa mkuu wa mipango katika taarifa yake.
Ununuzi huo unajiri wakati wa kashfa ya simu ya Galaxy Note 7 ambayo iliifanya kampuni hiyo na faida yake kuanguka kabla ya kuzirudisha simu hizo, na kusitisha utengezaji wake baada ya kubainika kuwa zimekuwa zikilipuka.
Samsung inajipatia mapato yake makubwa kutoka kwa biashara ya simu aina ya smartphone lakini sasa inatafuta maeneo mengine yanayoendelea.
Share:

Related Posts:

No comments:

Post a Comment

Categories

Ordered List

  1. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit.
  2. Aliquam tincidunt mauris eu risus.
  3. Vestibulum auctor dapibus neque.

Sample Text

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua. Ut enim ad minim veniam, quis nostrud exercitation test link ullamco laboris nisi ut aliquip ex ea commodo consequat.

Definition List

Definition list
Consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua.
Lorem ipsum dolor sit amet
Consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua.

Support

Need our help to upload or customize this blogger template? Contact me with details about the theme customization you need.

Pages