UN katika jitihada za kutatua mzozo wa kisiasa DRC

UN katika jitihada za kutatua mzozo wa kisiasa DRC


Kuna madai kuwa Kabila anachelewesha uchaguzi ili abaki madarakaniImage copyrightGETTY IMAGES
Image captionKuna madai kuwa Kabila anachelewesha uchaguzi ili abaki madarakani
Wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, wanazuru Jamhuri ya Demokrasi ya Congo, kujaribu kuzima mvutano wa kisiasa nchini humo.
Rais Joseph Kabila anamaliza muhula wake wa pili na wa mwisho mwezi ujao, lakini uchaguzi umehairishwa.
Upinzani unamtuhumu rais kwamba anachelewesha uchaguzi makusudi ili abaki madarakani.
Shirika la kutetea haki za binaadamu, Human Rights Watch, limeliomba Baraza la Usalama kumsihi Rais Kabila aondoke madarakani muhula wake ukimalizika, ili kuepusha msukosuko mkubwa zaidi.
Share:

Related Posts:

No comments:

Post a Comment

Categories

Ordered List

  1. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit.
  2. Aliquam tincidunt mauris eu risus.
  3. Vestibulum auctor dapibus neque.

Sample Text

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua. Ut enim ad minim veniam, quis nostrud exercitation test link ullamco laboris nisi ut aliquip ex ea commodo consequat.

Definition List

Definition list
Consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua.
Lorem ipsum dolor sit amet
Consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua.

Support

Need our help to upload or customize this blogger template? Contact me with details about the theme customization you need.

Pages