WANAFUNZI UDSM WADAI MIKOPO USIKU

Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wanaoishi Hosteli ya Mabibo wamekusanyika usiku wa kuamkia leo kwenye lango la kuingilia, huku wakiimba wakiwataka viongozi wa Serikali ya Wanafunzi UDSM (Daruso) kuja kusikiliza kilio chao.

Huku wakiimba nyimbo mbalimbali ikiwamo ‘Kama siyo juhudi zako Nyerere…nchi hii ingekuwa wapi’ na ule maarufu wa ‘Solidarity forever’, walidumu kwenye mkusanyiko huo takriban kwa saa mbili hadi saa 6.15 waliopoamua kuondoa baada ya viongozi wao kutofika.wanafunzi-newWakizungumza kwa sharti la kutotajwa, baadhi ya wanafunzi walisema wanaishi maisha ya shida kutokana na kutolipwa fedha za kujikimu na kwamba, mateso hayo yamesababishwa UDSM, Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), Serikali na Bodi ya Mikopo.

Hatua hiyo ilisababisha magari mawili ya polisi yaliyosheheni askari kupiga kambi eneo hilo, lakini kiongozi wao alisema hiyo ni doria ya kawaida ikiwa ni sehemu ya majukumu yao.

Share:

Related Posts:

No comments:

Post a Comment

Categories

Ordered List

  1. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit.
  2. Aliquam tincidunt mauris eu risus.
  3. Vestibulum auctor dapibus neque.

Sample Text

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua. Ut enim ad minim veniam, quis nostrud exercitation test link ullamco laboris nisi ut aliquip ex ea commodo consequat.

Definition List

Definition list
Consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua.
Lorem ipsum dolor sit amet
Consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua.

Support

Need our help to upload or customize this blogger template? Contact me with details about the theme customization you need.

Pages