Rais wa Guinea-Bissau awafuta kazi Dakika 21 zilizopita

Rais wa Guinea-Bissau awafuta kazi Dakika 21 zilizopita


Rais Jose Mario Vaz ndiye raia wa kwanza aliyechaguliwa tangu yafanyike mapinduzi ya kijeshi mwaka 2012Image copyrightAFP
Image captionRais Jose Mario Vaz ndiye raia wa kwanza aliyechaguliwa tangu yafanyike mapinduzi ya kijeshi mwaka 2012
Rais wa Guinea-Bissau Jose Mario Vaz amewafuta kazi mawazi wake wote.
Nchi ambayo ilionekana kuwa mfano wa maendeleo ya bara la Afrika, Guinea-Bissau sasa ni moja nchi maskini zaidi duniani, ambayo mara nyingi hukumbwa na misukosuko ya kisiasa na kijamii.
Mwaka 2015, mwaka mmoja baada ya kuingia madarakani Raia Vaz, alimfuta kazi waziri wake mkuu na mwanachama mwenzake Domingos Simoes Pereira, kufuatia tofauti kati ya wawili hao ikiwemo kuteuliwa kwa mkuu mpya wa majeshi.
Bacijo Ja baadaye alichukua mahala pa Pereira lakini hilo halikumaliza mzozo wa kisiasa nchini humo.
Hata hivyo Baciro Ja na baraza lake lote walifutwa kazi.
Share:

Related Posts:

No comments:

Post a Comment

Categories

Ordered List

  1. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit.
  2. Aliquam tincidunt mauris eu risus.
  3. Vestibulum auctor dapibus neque.

Sample Text

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua. Ut enim ad minim veniam, quis nostrud exercitation test link ullamco laboris nisi ut aliquip ex ea commodo consequat.

Definition List

Definition list
Consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua.
Lorem ipsum dolor sit amet
Consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua.

Support

Need our help to upload or customize this blogger template? Contact me with details about the theme customization you need.

Pages